-->

HIKI NDIO KIFAA CHA UMEME KINACHOTUMIKA KUUA MBU KWA URAHISI



ELECTRICAL HEAT MOSQITO KILLER.
Tokomeza malaria kwa kutumia Mashine pamoja na dawa hii ukishaiweka kwenye umeme utoa harufu nzuri isiyokuwa na kero, ambapo husababisha mbu kuikimbia. Unaweza kuacha mlango wazi na mbu hukimbia kwenda nje, na walio nje hawewezi kuingia ndani kutokana na perfume inayotoka kwenye dawa hii. Kumbuka kuwa mbu huingia ndani kwa wingi mida ya jioni giza linapoanza na asubuhi kunapoanza kupambazuka, muda huo kama utakuwa umewasha dawa, hata ukifungua milango mbu hawataingia ndani. Haina madhara kwa afya ya mwanadamu kwa kuwa imetengenzwa kwa mimea na products nyingine za asili.
Machine pamoja na dawa Tsh 25,000/=. Dawa (liquid) peke yake Tsh 10,000
Kwa anayetaka kuwa supplier au kununua kwa bei ya jumla naomba tuwasiliane pia.
Mawasiliano: 0753692612 au 0717035770
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment