-->

SHUHUDIA PICHA ZA MATUKIO YA UWANJANI JINSI YANGA ALIVYOMCHAPA AL AHLY BAO 1-0

Mtanange ukiendelea uwanja wa Taifa, huku timu zo te zikikosa kosa, hadi ilivyofika dk 82 Nadir Haroub alivyoipatia Yanga bao hilo moja baada ya kosa kosa nyingi na Yanga kupata kona zaidi ya 9 na zote bila matunda. 
Hamis Kiiza, akijikunja kupiga shuti lililomtesa vilivyo kipa wa Al Ahly.
Simon Msuva kijilaumu kukosa bao baada ya heka heka na jitihada alizoonyesha uwanjani katika kipindi cha kwanza.
Emmanuel Okwi (kushoto) akiruka 'Kisamaki' kupiga mpira wa kichwa huku beki wa Al-Ahly akiruka kupangua mpira huo.
KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA KUWAKIMBIZA WAARABU

KIKOSI CHA KWANZA YANGA:- Deogratias Munishi, Nadir Haroub 'Canavaro', Mbuyu Twite, Oscar Joshua, Kelvin Yondani, Frank Domayo, Simon Msuva, Haruna Niyonzima, Emmanuel Okwi, Mrisho Ngassa na Hamis Kiiza.

BENCHI LA AKIBA:- Juma Kaseja, Juma Abdul, Athuman Idd 'Chuji', David Luhende, Hassan Dilunga, Didier Kavumbagu na Said Bahanuzi.

KIKOSI CHA KWANZA NATIONAL AL AHLY:- Sherif Ahmed, Saadeldin Saad (c), Mohamed El Ghareeb, Ahmed El Moneim, Sayed Wahed, Shihab Saad, Hossam Mohamed, Ramy Abdel Aziz, Moussa Yedan, Mohamed Ismail na Amr Sayed.

BENCHI LA AKIBA:- Ahmed Gamal Mo, Amed Ahmed, Wael Kamel, Elsayed Mahdy, Mahmoud Ibrahim, Ahmed Adam na Ahmed Abdelraouf.
 
Chanzo na Sufiani Mafoto Blog
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment