-->

SAMIR NASIR:YAYA TOURE ALIFAA KUWA KIUNGO BORA WA DUNIA ILA TATIZO NI UAFRIKA

'World-class' Yaya Toure isn't appreciated because he's from Africa, says NasriSamir Nasir amesema Yaya Toure anapaswa kuwa mchezaji bora dduniani ila tatizo ni sehemu anayotokea,yaani barani Afrika.Kwa mujibu wa Samir Nasir thamani ya Yaya Toure katika soka ni kubwa sana ingawaje haithaminiki kidunia.Samir Nasir amesema Yaya Toure kama angekuwa anatokea nchini Brazil au Argentina basi angekuwa mmoja wa miongoni mwa viungo wenye kutajwa sana duniani

“I'm tired [of talking] about Yaya. You should know now [how good he is]. If he wasn't African everyone will say he's the best midfielder in the world,” Nasri told reporters.
Pia Samir Nasir amegusia swala zima la pesa zinazotolewa kwenye ununuzi wa wachezaji ambako amesema kuna wachezaji wamepewa thamani ya kununuliwaa kwa £40m au £50m kutokana tu na nchi wanazotokea kama vile Brazi au Argentina.

“Of course it counts against him being from Ivory Coast. If he was Argentinian or Brazilian everyone will talk about him, everyone. You have some Brazilians or Argentinians, I don't want to say anything wrong, but just because they are from this country you pay them £40 million or £50m.
Pia Samir Nasir amewataka watu walete kiungo mkabaji mwenye kufunga magoli mengi kwa msimu mmoja anaefanana na Yaya Toure katika dunia.
 “A guy like Yaya, he [has] won every trophy, he is always there. Tell me one defensive midfielder who can go forward like him who can score 16 or 17 goals in a season. Tell me one and then we can talk.”
Yaya Toure ambaye zamani alikuwa mchezaji wa Barcelona na sasa anaichezea timu ya Manchester city,Amekuwa kinara wa kuiongoza timu hiyo kwenye kupata ushindi wa mechi mbalimbali.Pia huyu ametajwa kuwa mchezaji bora wa bara la Afrika mara tatu mpka sasa.
JE NI KWELI YAYA TOURE ANASTAHIKI KUWA KIUNGO BORA WA DUNIA?
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment