-->

MZEE NELSON MANDELA AFARIKI DUNIA

 
Mzee Nelson “Madiba” Mandela amefariki dunia kwa mujibu wa CNN mzee Madiba amefariki dunia leo akiwa na umri wa miaka 95.Kwa mujibu wa Rais wa rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amesema mzee Mandela amefariki Ijumaa usiku baada ya kuugua kwa muda mrefu.Anatarajiwa kuzikwa baada ya siku 10 zijazo.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment