Kijana Kabiru Abubacker Mousa kutoka Nigeria ametangazwa kuwa mshindi wa kwanza wa mwaka 2013wa mashindano ya kimataifa ya kuhifadhi na kusoma Qurani yaliyofanyika hivi karibuni nchini Saudi Arabia.
Mashindano hayo yanayofanyika kila mwaka na kushirikisha vijana kutoka nchi mbalimbali duniani huandaliwa na Taasisi ya King Abdul Aziz International Qur’an contest.
Kabiru Abubacker Mousa alipewa riyal 100,000 sawa na shilingi milioni 42,900,900 kama mshindi wa tuzo ya kwanza, wakati Mohammed Abdul Kalam Azad Najm kutoka Bangladesh alishinda Riyal 80,000 (sawa na shilingi 34,320,720) Washindi wengine ni Kareem Abdul Abubacker aliyepata Riyal 60,000 (sawa na shilingi 25,740,540), Ameen Mohammed Aftab Alam kutoka Saudi Arabia Riyal 30,000 (sawa na shilingi12870270) na Khaled Mohammed Jobi kutoka Mauritius Riyal 25,000 (sawa na shilingi 10,725,225).
Washindi wa kundi la pili wa kwanza alikuwa, Adel bin Mahmoud Al- Khair Ghulam kutoka Saudi Arabia 90,000 (sawa na shilingi 38,610,810), wa pili Ahmed bin Abdullah Al- Khalaf kutoka Saudi Arabia 70,000 (sawa na shilingi 30,030,630), wa tatu Saeed Ahmed kutoka Bangladesh 50,000 (sawa na shilingi 21450450) wa nne Mohammed Akram Al- Maleeki kutoka Yemen 25,000 (sawa na shilingi 10,725,225), na wa tano ni Suwayd Bilal Ishaq 20,000 (sawa na shilingi 8,580,180).
Washindi wa kundi la tatu tuzo ya mshindi wa kwanza ilikwenda kwa Naeem Balout kutoka Lebanon 80,000 (sawa na shilingi 34,320,720), wa pili Rakan Ibrahim Khidr kutoka Iraq 60,000 (sawa na shilingi 25,740,540), watatu Suleiman Abubacker Buji kutoka Nigeria 40,000 (sawa na shilingi 17,160,360), wanne ni Habibullah Sirajul Uislamu kutoka Bangladesh 20,000 (sawa na shilingi 8,580,180)
watano ni Sham Saeed sham kutoka Tanzania 15,000 (sawa na shilingi 6,435,135).
Aidha, washiriki walipata nafasi kufanya Umra na kutembelea msikiti wa Mtume masjid Nnabawiy
Akizungumzia mashindano hayo Basfar alisema yanatia moyo kwa vijana kujifunza kusoma na kuhifadhi Qur'ani na kufuata njia ya maisha inavyofundisha Qur'an na Sunnah na kuwaweka vijana mbali na vurugu za kidunia.
Basfar Abdullah, katibu Mkuu wa taasisi ya mashindano ya kuhifadhi Qur'an ya Kimataifa (IQMO ) aliiambia Arab News kwamba mashindano hayo ndio mama wa mashindano yote Qurani duniani. Jumla ya washiriki 150 kutoka nchi 61 walishiriki katika mashindano hayo na Waziri wa Mambo ya Kiislamu Saleh Al- Asheikh ndiye aliyakabidhi zawadi kwa washindi.
Zaidi ya wanafunzi 6,000 kutoka sehemu mbalimbali za Dunia wameshiriki katika mashindano hayo ya King Abdul Aziz tangu kuanzishwa kwake miaka 35 iliyopita. Wao ni pamoja na Sheikh Abdul Rahman Al- Sudais , mkuu wa Urais wa misikiti miwili Mtakatifu, na Ali Al- Thubaity , imam na Khatib wa Msikiti wa Mtume ï·º katika Madina.

Kushoto waziri wa mambo ya ndani ya kiislamu akimkabithi mshindi wa pili Ahmed bin Abdullah Al-Khalaf. Kulia ni Sheikh Abdul Rahman Al-Sudai |
Jopo la majaji |
0 comments :
Post a Comment