-->

MCHEZAJI WA NBA AJITANGAZA KWAMBA YEYE NI SHOGA




Mchezaji wa mpira wa kikapu aitwae Jasson Collins amejitangaza rasmi kwamba yeye ni shoga na anafurahia kuwa shoga.Nchi nyoingi za ulaya zimepitisha sela ya ya ndoa ya jinsia moja na kufanya idadi ya mashiga iongezeke siku hadi siku.Jasson Collins amekuwa mchezaji wa kwanza wa kikapu kujatangaza kwamba yeye ni shoga na timu yake ya Celtic wamemuunga mkono kwa maamuzi yake ya kijtangaza kwamba yeye ni shoga.
Nchi za Afrika kulingana na maadili ya nchi zao zimepinga vikali ndoa za jinsia moja na hivyo kuleta ugumu wa matukio ya matukio ya laana kama ushoga kuweza kufanyika kwa wazi.
Blog hii inatoa wito kwa nchi za Afrika kuendelea na msimamo wa kuzui ushoga na na ikiwezekana sheria kali ziandaliwe dhidi ya watu watakao fahamika kujihusisha na ushoga.
sourcethe magazine

Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment