-->

RAISI MPYA WA KENYA UHURU KENYATA AAPISHWA JANA

Raisi mpya nchini Kenya Uhuru Kenya ameapishwa hapo jana akifuatiwa namizinga 21 kama heshima kwa kuapishwa kwa Raisi mpya Uhuru Kenyata.Maraisi wa nchi mbali mbali waliudhuria sherehe hiyo ya heshima ya kuapishwa kwa Raisi Uhuru Kenyata.
Baada ya kuapishwa kwa Raisi Uhuru Kenyata pia alipewa nafasi ya kutoa hotuba mbele ya maelfu ya watu waliohudhulia katika sherehe hizo za kuapishwa.Raisi Uhuru Kenyata aliahidi kwamba wanawake wajawazito waliahidiwa kupata tiba bure baada ya muda mfupi kutoka sasa.Pia aliweka ahadi ya kuwapatia Laptop wanafunzi wa shule ya msingi hapo itakapofika mwakani.
Blog hii inatoa pongezi kwa Raisi Uhuru Kenyata na wakenya kwa kumpata Raisi mpya katika hali salama na ya amani.




Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment