WABUNGE WATOLEANA MATUSI BUNGENI
Katika bunge ambale limerushwa hewani leo tarehe 16 mwezi wa 4 Sika Anna Makinda alisikika akilalamika dhidi ya matusi yanayotolewa na wabunge bungeni na kusisitiza tena kwamba kwa mamlaka aliyonayo atatumia jeshi la polisi kumkata mbunge yeyote yule atakaye rudia tendo hilo la kutumia lugha ya maneno machafu ndani ya bunge na kuongezea kwamba kama anaweza na akakate rufaa huko mbele.
Pia spika bunge Anna Makinda maesema amekuwa akipokea meseji zinazomwambia kwamba kama bunge limekuwa la namna hii sasa hataweza kutizama bunge sebuleni na watoto wake kwani atalitizamia chumbani kutokana na lugha chafu inayotumiwa na wabunge bungeni
0 comments :
Post a Comment