-->

WATU WAFUKIWA NA KIFUSI MGODINI GHANA

 http://wscdn.bbc.co.uk/worldservice/assets/images/2012/10/14/121014165305_ghana_gold_mining_144x81_bbc_nocredit.jpg


Katika mgodi ambao ulikuwa hautumiki kwa muda mrefu ambao upo karibu na na eneo linalofahamika kama Kyekyewere.Mgodi huo ulikuwa ukitumiwa na wachimbaji haramu wa dhahabu ambao idadi yao kamili haijafahamika kutokana na jambo lenyewe kuendeshwa kinyemela pasina kufahamika na serikali.Watu 16 walitaarifiwa kupoteza uhai wao katika ajali hiyo hapo awali na mmoja wa 17 alifariki akiwa hospitali baada ya kuokolewa na kuwahishwa hospitali.
Blog hii inawatakia pole wafiwa pamoja na nchi ya Ghana kwa ujumla kwa kupoteza nguvu kazi ya taifa na tunawatakia marehemu walale mahali pema peponi Amin
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment