-->

LIVERPOOL WAMNYONGA NEWCASTLE BAO 6-0

Liverpool yamtandika Newcastle mabao 6-0 katika mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Newcastle ambako Agger alifungua ukurasa wa magoli katika dakika ya 3,kisha Henderson katika dakika ya 17  akapiga bao la pili,Safari ya magoli iliendelea kwa Sturridge kupiga bao la tatu kwenye dakika ya 54 na muda mfupi tu mbeleni akaongeza bao la nne kwenye dakika ya 60.Kisha Borini aliongeza maumivu kwa Newcastle kwa kupiga bao la tano kwenye dakika ya 74 na mwisho kabisa kwenye dakika ya 76 Henderson alifunga ukurasa wa magoli kwa kupachika bao la sita
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment