-->

RAISI BARACK OBAMA AONYESHA NJONJO ZA SOKA

Raisi wa Marekani Brack Obama ambaye anajiita baba wa soka(soccer dad) ambaye ni mshabiki mkubwa wa West ham ni mpenzi mkubwa wa soka na tayari amekwisha wahi kuwashauri vingozi wengine wa nchi saba za G8 kuahirisha kikao ili watizame fainali za kombe la ulaya.Hivyo inasemekana kwamba yeye ni mdau mkubwa wa soka na ilidhihirika wiki iliyopita pale alipowakaribisha ikulu Los Angles Galaxy na Los Angles Kings ili kuwapongeza kwa kushinda taji la The major league soccer na National Hockey League.
Raisi Barack Obama aliuchezea mpira kwa kichwa kwa uzuri kabisa kama vile wanavyofanya wachezaji wakubwa uwanjani.Hali hii ilejenga shauku ya watu kutaka kujua kwamba alishawahi kuwa mchezaji mpira,jawabu likawa ndio hasa alipokuwa pale Harvad university ambako alifahamika kama Classy soccer player.

Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment