-->

GODBLESS LEMA MBARONI KWA KUHUSISHWA NA VURUGU ZA WANAFUNZI ARUSHA


Mbunge wa Arusha mjini mheshiwa Godbless Lema anashikiliwa na polisi kwa kosa la kuhusishwa na vurugu zilizotokea katika chuo cha uhasibu mkoani Arusha.Vurugu hizo zilitokea kufuatia kifo cha mwanafunzi mmoja wa ambaye alikutwa amefariki siku ya jumatatu.
Kamanda polisi ambae ni kamishna msaidizi wa polisi Liberatus Sabas amevieleza vyombo vya habari kwamba Mh Godbless Lema alikamatwa na polisi usiku wa saa tisa nyumbani kwake na kuongezea kwamba wengine 14 waliohusika kwenye vurugu hizo tayari wamekwisha fikishwa mahamani
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment