Kama inavyoonekana katika picha hapo juu ndivyo ilivyokuwa kwamba Barcelona anakutana na Buyern munich na Reala madrid anakutana na Dortmund.Mechi ya kwana itachezwa Ujerumani na mechi ya marudiano zote mbili pia zitachezwa Hispania.Hivyo hii ni vita ya kisoka kati ya Hispania na Ujerumani.
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment