-->

SUAREZ AMNG'ATA MTU TENA

Mchezaji wa timu ya Liverpool Luis Suarez amerudia tena tendo la kung'ata mchezaji mwenzake ingawaje tayari alishaonywa kwa kufungiwa mechi saba katika kombe la EUROPA baada ya kufanya tendo la kumnga'ta mchezaji wa PSV Eindhoven aitwae Otman Bakkal kipindi yupo Ajax na alifungiwa mechi saba kwa kitendo hicho ingawaje adhabu ilitoka baada ya mechi kuisha na kupitiwa tena na kamati ya nidhamu baada ya kupokea shutuma ya kung'atwa kwa mchezaji huyo.



Leo hii mchezaji huyu amemng'ata Ivanovic katika mechi iliyochezwa leo kati ya Chelsea na Liverpool na matokeo kumalizika 2-2.



 Matukio kama haya ligi kuu yamekuwa si ya kushangaza kwani tayari yalishafanya na mchezaji wa Tothenham dhidi ya Mascherano.
Wadu wa soka wanasubiria kwa hamu kuona au kusikia maamuzi yatakayotolewa na FA kutokana na kosa hili ili iwe funzo kwa wengine




Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment