Luis Suarez mchezaji wa timu ya Liverpool aomba radhi kupitia mtandao wa twitter dhidi ya tukio lake alilolifanya jana katika mechi kati ya Chelsea na Liverpool kwa kumng'ata mchezaji mwezake wa timu ya Chelsea aitwae Ivanovic.Katika mtandao wa twitter imepatikana hii post
Pia klabu ya liverpool imempiga faini Suarez kwa tendo hilo ambalo limetafsiriwa kama tendo ambalo linadharirisha klbu pamoja soka la nchini Uingerez..Suarez ameomba faini hiyo atakayotoa itumike kuwapa the Hillsborough Family Support Group.
Ama katika nyakati nyingine imesikika kwamba FA wamesema kwamba kudhibiwa kwa mechi tatu kwa Suarez hakutoshi hivyo hukumu yasubiriwa kutajwa hapo tarehe 23April 2013.
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment