GARI LA MIZIGO LA ABOOD LAKWAMA MAENEO YA MSAMVU
Gari hiyo kubwa ya mizigo ambayo ilikuwa imebaba mzigo ambao ulifunikwa na turubai la rangi ya blue kipindi linataka kupaki lilijikuta likikwama kwenye ambazo zilipelekea matairi ya upande mmoja kunyanyuka juu na mengine kugusa ardhi.
Jitihada zilifanyika kuhamisha mzigo kwenda kwenye gari nyingine ili waweze kuikwamua gari iliyonasa kwa urahisi hapo jana kwenye mida ya saa 5 asubuhi.
0 comments :
Post a Comment