Timu ya Taifa Staz yapaa zaidi katika viwango vya soka kutoka nafasi ya 119 mwezi march mpaka nafasi ya 116 kutokana takwimu ya leo tarehe 11 Apiril 2013,Hii inatokana na ushindi ulioipata katika mechi yake dhidi ya Morocco kwa kumtandika bao tatu(3) kwa moja(1) na kuifanya timu ya taifa iendelee kusonga mbele katika takwimu hizo za kila mwezi ambazo hutolewa na FIFA wenyewe.Timu ya Hispania imeendelea kuwa vinara wa timu bora za taifa duniani ikifuatiwa na Ujerumani na Argentina.
kikosi kilichomua Mmorocco hiko hapo
0 comments :
Post a Comment