Habari ambazo zimetufikia hivi punde kupitia maelezo ya kaimu mkuu wakitengo cha mawasiliano serikalini kuwa uvumi wa kuongwzwa kwa mishaara kwa asilimia 50 kwa walimu ni uongo na wala hazina ukweli wowote.Ni kweli inauma lakini hakuna njia ya kukwepana na ukweli.habari zaidi itazame hii barua ya kaimu mkuu wa mawasiliano kitengo cha mawasiliano.
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment