SUAREZ JELA MECHI KUMI UINGEREZA
Mchezaji wa timu ya Liverpool ambae alikuwa akituhumiwa na Chama cha soka cha nchini Uingereza kwa kosa la kumng'ata mchezaji wa Chelsea Ivanovic nakupewa adhabu yaq mechi 3 na jopo huru la FA kisha chama kikuu cha FA kilisikika kikisema kwamba adhabu ya mechi kumi hazitoshi,hivyo waliahidi kutoa maamuzi mengine tena hapo tarehe 23 ya mwezi huu wa nne 2013,Maamuzi tayari yamekwishatolewa na hivyo Suerez sasa atalazika kukaa nje mechi kumi(10) yaani mechi nne zilizobakia kwenye ligi ya sasa na mechi 6 katika msimu mpya wa ligi utakao anza.
0 comments :
Post a Comment