Hii ni moja ya habari inayopatikana kwenye gazeti la KISIWA la ijumaa ya leo ya tarehe 26 mwezi wa nne mwaka huu.likeleza taarifa ya [ongezi iliyotolewa na Mike Tyson bingwa wa ndondi ambae nae pia alishawahi kumn'gata Evander Holyfield mwaka 1997 katika pambano la Heavy weight fight(WBA).
Mike Tyson amesema kwamba Suarez asilaumiwe kwa kile alichokitenda bali watizame na kile alichukuwa akifanyiwa na Ivanovic kabla ya yeye kumn'gata.Pia amesema kwamba refa alikuwa akimpuuza kwa kile alichokuwa akifanyiwa na Ivanovic akasema hata yeye alin'gata kwenye pambano lake baada ya kuona refa anampuuza wakati anafanyiwa faulo na Evander hivyo akaamu kufanya jambo la kulipiza il limuudhi mpinzani wake.
Pia Mike Tyson amempongeza Suarez kwa kitendo chake cha kuomba msamaha kwa Ivanovic kwani hata yeye pia alimuomba msamaha Evander Holyfield mwaka 1997.
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment