-->

BI KIDUDE AFARIKI DUNIA


Msanii wa taarabu nabongoflava afariki dunia leo hii baada ya kusumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu,leo hii Mola amechukua roho yake na kusababisha majonzi makubwa kwa ndugu jamaa,mashabiki na marafiki zake.Msanii huyo ambaye jina lake kamili ni Fatuma bint Baraka ambaye alizaliwa eneo linalofahamika kama Mfigamaringo ambaye baba ake alikuwa akijishughukisha na uuzaji wa nazi Zanzibar katika kipindi cha ukoloni.



Picha za hapo juu ni katika matukio mbali mbali ya marehemu Bi Kidude katika zama za uhai wake

Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment