-->

YANGA YATANGAZA UBINGWA LIGI KUU BARA

Rnk TeamMPWDLGFGA+/-Pts
1 Young Africans24175244133156
2 Azam23145441192247
3 Kagera Sugar2311752518740
4 Simba SC2299432211136
5 Mtibwa Sugar249962723436
6 Coastal Union238962320333
7 Ruvu Shooting228682121030
8 JKT Oljoro2477102227-528
9 Tanzania Prisons2468101421-726
10 JKT Ruvu2475122037-1726
11 Mgambo JKT2374121623-725
12 Toto African25410112234-1222
13 Polisi Morogoro23310101222-1019
14 African Lyon2454151636-2019
  • Relegation
  •  Timu ya  Yanga FC yatangaza ubingwa rasmi katika ligi kuu bara(Vodacom Premier League) baada ya kutoka suluhu ya 1-1 na timu ya Coastal union.Hivyo hata matokeo ya mechi zilizobakia wakifungwa zote bado wataendelea kuwa mabingwa wa ligi hii.Mashabiki mbali mbali wa timu ya Yanga wamesikika wakisema kwamba furaha yao ya ubingwa itakamilika kumfunga mtani wao wa jadi Simba sports club
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment