-->

UWANJA WA SHUJAA WAGEUKA KICHAKA

Uwanja maarufu mkoani Morogoro ambao umekuwa uitumika katika mashindano mbali mbali ya mpira wa miguu mkoani Morogoro umeota nyasi nyingi sana kiasi cha kuwa kama kichaka.Hii inasababishwa na uwanja huo kuwa bondeni hivyo kipindi cha mvua huwa unajaa maji na kushindwa kutumuka hali inatyopelekea nyasi kukuu kwa wingi na kuufanya kugeika kuwa kichaka.



Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment