Mchezaji wa timu ya Buyern munich Gomez alifanikiwa kushinda goli 3 katika dakika 6 kuanzia dakika ya 80,83 na kisha 86.Rekodi hii ni ya kipekee kutokana na ndani ya muda mchache mchezaji huyo ku[piga hat trick huku timu yake ikiitandika Vfl Worfsburg bao 6-1
Hii huenda ikawa salam kwa timu ya Barcelona ambayo inatarajiwa kukutana na wababe hao wa nchini Ujerumani katika nusu fainali.
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment