-->

TETESI ZA KUREJEA KWA MWANAHALISI KIVINGINE

Gazeti la Mwanahalisi inasemekana kwamba limerejea kivingine huku likiwa na jina la MAWIO,Tetesi hizi zimeenea kwenye mitandao ya kijamii kama vile jamii forum pia na katika blog kama vile kalulunga media
Gazeti hilo ambalo linasura kama ya MWANAHALISI ambalo lilifungiwa na  Mamlaka ya habari TCCRA
Lakini hizi zote no tetesi na wala hakuna ushahidi wa moja kwa moja kuhusiana na gazeti hili kwani wengine wamezungumzia waandishi wa habari wa MWANAHALISI kuhamia MAWIO na wengine wamezungumzia sura ya gazeti hilo na wengine wamezungumzia aina ya habari zinzochapwa na gazeti hilo.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment