MUFT SHABANI SIMBA AFARIKI DUNIA,KUZIKWA SIKU YA ALHAMISI HUKO SHINYANGA
Aliyekuwa Sheikh mkuu wa Tanzania Sheikh Issa Bin Shabani Simba enzi za uhai wake
Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Shaaban Issa Simba amefariki dunia. Akidhibitisha kutokea kwa kifo hicho Shehe Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Sheikh Alhadi Mussa Salim amesema Mufti amefikwa na umauti hii leo asubuhi. "Ni kweli Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Shaaban Issa Simba amefariki hii leo asubuhi kwa maradhi ya sukari na presha," alisema kwa ufupi Sheikh Alhhadi.
Mazishi ya Muft Shabani Simba yatafanyika siku ya Alhamisi huko mkoani Shinyanga
INNA LILLAH WA INNA ILLAHI RAJIUN.
0 comments :
Post a Comment