-->

C.RONALDO AFUMWA NA ASKARI AJIKISAIDIA KWENYE PARKING




Staa wa soka duniani Cristiano Ronaldo ameendelea ‘kula bata’ katika kisiwa cha Saint Tropez, Ufaransa akiwa na marafiki zake katika wakati huu wa mapumziko baada ya kumalizika kwa msimu wa ligi kuu.



Camera za mapaparazzi ziko nae kila kona, wakamnasa na hii usiku sana akiwa ametokaClub Le Quai na washkaji zake, akajibana sehemu ajisaidie haja ndogo.. camera zikamnasa pia !! Baadae inaonekana kuna Askari ambao walimkamata alafu wakamwachia.









Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment