ZITTO NA POSHO ZA BUNGE. ,,,,,,,,,,,,
NA MWANDISHI WETU.
Chama cha Act~Wazalendo kimesema kuwa,wanachama wake watakaotaka Ubunge na kufanikiwa kuingia bungeni October mwaka huu,itakuwa marufuku kwao kupokea posho za vikao pamoja na kuendelelea na biashara kwa waliokuwa nazo. Hatua hiyo ni sehemu ya utekelezani wa AZIMIO LA TABORA,ambalo linataka kuenziwa kwa misingi ya haki na usawa kwa binadamu wote kama njia yakulinda miiko ya uongozi kwa umma. ,,,,,
Zitto kabwe aliyasema hayo wiki hii kwenye mkutano uliofanyika katika uwanja wa mashujaa mkoani kagera ikiwa ni mwendelezo wa chama hicho kulitangaza AZMIO LA TABORA lililozinduliwa wiki iliyopita mjini Tabora. ,,,-,,,,,,,,,
Akihutubia katika mkutano huo,Zitto alisema wabunge wanalipwa mishahara,hawana sababu yakuendelea kufanya biashara nyingine walizokuwa wakifanya kabla ya kupata nafasi hizo.,,,,,,,,
Akifafanua kuhusu malipo ya mbunge,,,,,,,,
Zitto kabwe alisema mshahara wa mbunge ni Sh.4.2 milioni,posho za vikao kwa siku sh.300,000/= na fedha kwa ajili ya simu sh.milioni 2,Jumla mbunge anapokea Sh.milioni 11.2,,,,,
fedha hizo ni nje ya posho za kujikimu,,,,,,
ACT~Wazalendo tunasema marufuku mbunge kupkea posho,alisema.,
Zitto alisema nyayo za mwalimu Nyerere zinazofatwa na chama hicho ndizo zinazoweza kuondoa hulka ya matajili wachache kushika nchi kwani wao ndio wanaoongoza nchi na kushikilia baadhi ya vyama vya siasa.,, ??????????

0 comments :
Post a Comment