-->

KOCHA WA TAIFA STAZ AFUKUZWA KAZI BAADA YA KIPIGO CHA BAO 3 KWA BILA KUTOKA KWA UGANDA

 Kamati ya utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Katika kikao chake cha leo pamoja na mambo mengine ilipitia mwenendo wa Timu ya Taifa (Taifa Stars) ikiwa ni pamoja na kuhudhuria mchezo kati ya Tanzania na Uganda, kama sehemu ya tathmin ya mwenendo wa timu. Kamati ya utendaji kwa kauli moja imeamua yafuatayo: 1.Ajira ya Kocha Mkuu Maart Nooij inasitishwa mara moja kuanzia tarehe 21/June/2015. 2.Benchi lote la ufundi la Taifa stars limevunjwa kuanzia tarehe 21/06/2015. 3.Uongozi wa TFF utatangaza punde benchi jipya la ufundi la timu ya Taifa. IMETOLEWA NA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)

source:SALUTI5
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment