-->

HIKI NDIO KIFUNGU CHA KATIBA KILICHOMPA FURSA MWANAFUNZI WA CHBUO ZA MZUMBE KUTANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAISI

“Unajua ibara ya 39 (1) (b) inasema lazima utimize miaka 40, lakini ibara (d) inasema mtu mwenye sifa za kuwa mbunge au mjumbe wa baraza la wawakilishi anaweza kuwania urais,” alisema akifafanua kuwa yeye ana sifa hizo.
Alisema Maliki Malupu wakati akihojiwa na waandishi wa habari
NINI MAONI YAKO KUHUSU KUTANGAZA NIA KWA KIJANA HUYU???
 
KWA MAHITAJI YA BLOG PIGA 0714557223 SASA HIVI ILI UJIPATIE BLOG YAKO KALI NA YENYE MVUTO
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment