Hapo kabla tulisoma kwa kirefu kuhusu vidonda vya tumbo kisha tukasoma kuhusu dawa mbadala ya vidonda vya tumbo na leo tunaendelea kuangalia chakula cha mgonjwa wa vidonda vya tumbo.
Katika kutibu vidonda vya tumbo, mara nyingi ni lazima kupunguza uzalishaji wa asidi tumboni au mwilini kwa ujumla.
Matibabu ya vidonda vya tumbo hujumuisha lishe na kubadilisha mitindo ya maisha na kutumia dawa maalumu.
Ikiwa matatizo kama kuvuja damu au vitobo sehemu ya kidonda yatatokea, basi hapo upasuaji huwa ni muhimu.
Vidonda vya tumbo kwa ujumla hupona ndani ya wiki 4 mpaka 6 za matibabu.
Mtu mwenye vidonda vya tumbo ni mtu mwenye asidi nyingi mwilini kuliko alkalini, hivyo anatakiwa kupendelea zaidi kula matunda na mboga za majani. Anahitaji zaidi ukijani mwilini mwake. Pia apendelee kula ugali wa dona kuliko ugali wa sembe na inashauriwa pia kupunguza kula wali.
Kitu kingine mhimu kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo ni maji. Hakikisha unakunywa kila siku maji glasi 8 hadi 10. Soma hii => [Jitibu kwa kutumia maji mp3].
Hapa chini nimekuwekea jedwali la jumla la vyakula na vinywaji vyenye asidi sana, asidi ya kati na alkalini sana, vile vya kuviepuka ni vile vyenye asidi sana, orodha itaendelea kuboreshwa;
Mayai na bidhaa za maziwa
Alkaline: mtindi
Neutral: mtindi mtupu (plain Yogurt ),
Acid: siagi, krimu, mayai, jibini ngumu (Hard Cheese), Ice Cream, jibini ya kiwandani (Processed Cheese), maziwa
Vyakula jamii ya maharage
Alkaline: Lima, njegere, Snap, String
Neutral: Soya
Acid: Black, Garbanzo, Kidney, dengu
Vyakula jamii ya karanga
Alkaline: lozi, Nazi freshi (fresh)
Neutral:
Acid: Brazil, korosho, Nazi kavu (dried coconut), Macadamia, karanga, Pecan, Pistachio, Walnut
Mboga za majani
Alkaline: asparaga (Asparagus), kiazisukari (Beets), brokoli (broccoli), kabeji, karoti, Koliflawa (aina ya kabichi – Cauliflower), figili (Celery), tango, mwani (Kelp), saladi (Lettuce), uyoga, vitunguu, kotimiri (Parsley), Bell Peppers, viazi ambavyo havijamenywa (with skin), boga (Squash), nyanya
Neutral: Horseradish, Rhubarb, Sauerkraut
Acid: Spinachi iliyopikwa, viazi ambavyo vimemenywa (no skin Potato), achali
Matunda
Alkaline: tufaa (Apple), parachichi, tende, mtini, zabibu, balungi, Kiwi, Limau, ndimu, embe, tikiti maji, chungwa, mpichi, Pears, Stroberi
Neutral:
Acid: Blueberry, Cranberry, plamu (Plum), plamu kavu (Prune)
Vinywaji
Alkaline: Maji ya limau, Chai ya tangawizi
Neutral: Maji
Acid: Chai ya rangi, Bia, kahawa, vinywaji vyenye kafeina, juisi za viwandani (processed), Liquor, Soda, Wine
Viongeza utamu
Alkaline: Asali mbichi (Raw Honey), sukari mbichi (Raw Sugar), Stevia
Neutral:
Acid: Viongeza utamu vyote vya kutengenezwa (Artificial Sweeteners)
Nyama
Alkaline:
Neutral:
Acid: Nyama ya ng’ombe, kuku, Samaki, mbuzi, batamzinga, nyama ya nguruwe, Sungura
Mafuta
Alkaline: mafuta ya mbegu za katani
Neutral: mafuta ya lozi, Canola, mafuta ya nazi, mafuta ya mahindi, Margarine, mafuta ya zeituni, Safflower, mafuta ya ufuta, mafuta ya Soya, mafuta ya alizeti
Acid:
Vitafunwa & nafaka
Alkaline: Amaranth, Millet, Quinoa
Neutral:
Acid: Barley, Buckwheat, Oats, mchele, Rye, Spelt, ngano, Pasta (vyakula jamii ya tambi), biskuti Mbegu
Alkaline: Alfalfa (sprouted), chia (sprouted), Sesame (sprouted)
Neutral:
Acid: boga, alizeti, ngano
Kama una swali tafadhali liulize hapo chini kwenye comment sasa hivi.
Umeipenda makala hii? Jiunge kwa email upokee makala mpya zinapoandikwa hapa. Andika jina lako kamili na email unayoitumia kila mara kisha bonyeza kitufe chenye neno jiunge. Hakikisha unaithibitisha (confirm) hiyo email yako kwa link nitakayokutumia ndipo utatumiwa makala.
Email yako kamwe hataonyeshwa mtu mwingine yeyote.
SOURCE:FADHI PAULO

0 comments :
Post a Comment