ETI NIMECHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS KUPITIA CCM!!!!
Ndugu zangu,
Baada ya simu nyingi kutoka mikoani na meseji nyingi kwenye simu, FB na Whatsup juu ya kichwa cha Habari cha gazeti la DIRA la leo, nimeona nichukue hatua ya kueleza hali halisi ili kutowachanganya wananchi bila sababu.

Mimi mwenyewe nilishtushwa
sana nilipofuatilia uchambuzi wa magazeti leo asubuhi, muda si mrefu
nimefikishiwa gazeti husika na kugundua kuwa yanayoelezwa ndani siyo
yaliyoko kwenye kichwa cha habari.
Ni wosia wangu kwa wahariri wa magazeti kututendea haki mnapotuhoji, hakuna haja ya kuandika habari ndogo kama hii kwa kushtua umma namna hii. Mimi siyo mwandishi wa habari lakini nadhani mhariri wa Gazeti hili hakunitendea haki hata kidogo. Anaweza kuwa anauza Gazeti lake lakini anawaachia walakini watu wengine.
Na kwa bahati mbaya, watanzania huishia tu kusoma gazeti kwa mbele.
Poleni sana wote mliostushwa na kichwa hicho cha habari.
J. Mtatiro +255787536759.

0 comments :
Post a Comment