Mahakama ya hakimu mkazi
Mkoani morogoro
Imesema kua kesi ya jinai inayomkabili katibu wa jumuiya na taasisi za kislam
Sheikh ponda issa ponda
Itakua tareikh 22 july2015
Mkoani morogoro
Imesema kua kesi ya jinai inayomkabili katibu wa jumuiya na taasisi za kislam
Sheikh ponda issa ponda
Itakua tareikh 22 july2015
Kauli hiyo imetolewa na hakimu mkazi wa mahakama
Hiyo bi Mary moyo Mara baada ya kumalizika kwa
Hoja kutoka upande wa mashtaka zilizokua zinataka
Mtuhumiwa kuonekana ana
Kesi ya kujibu.
Aidha mahakama hiyo imesema kua itapitia hoja za pande zote mbili na hukumu
Hiyo ya kuamua kama kesi itaendelea au laa
Itakua tarekhe 22july
Source : radio iman

0 comments :
Post a Comment