-->

JE UNAFAHAMU KUWA MECHI YA LEO KATI YA MAN U NA CHELSEA NI YA KULIPIZANA KISASI?UNDANI WOTE HUU HAPA

VISASI : Mechi ya leo kati ya Chelsea Vs Manchester United ni mechi ya kulipiza kisasi kwa Van Gaal. Mwaka 1999 kocha wa Real Madrid kwa kipindi hicho Guus Huddink alifukuzwa kazi baada ya kufungwa na Barcelona iliyokua inaongozwa na Van Gaal. Leo kama Chelsea ya Guus Hiddink ikiifunga Manchester United kuna uwezekano mkubwa wa Vaan Gaal kuachishwa au kuacha kazi. Itakua kisasi kimelipwa na bwana Guus Hiddink. Mechi ni mapema kabisa saa 2:30
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment