Jioni moja Obama na Mke wake walienda Outing
ya kawaida sana kwenye moja ya Mgawaha..
Walipokuwa hapo mwenye mgahawa akamuomba
Obama ruhusa aongee na Michelle yaani mwenye
mgahawa aongee na Mke wa Rais na Obama
akatoa ruhusa
Walipomaliza mazungumzo Obama akamuuliza
mke wake jamaa alikuwa anakuambia nini?
Mke wa Obama akasema huyu Jamaa tulipokuwa
wadogo alikuwa ananipenda saaaana alitaka
kunioa..
Obama akamuuliza mke wake ' kwa hiyo kama
ungekubali akuoe leo ndo ungekuwa Mmiliki wa
Mgahawa huu?
Mke wa Obama akajibu hapana... kama jamaa
angenioa basi leo Ndo angekuwa Rais wa
Marekani.... Obama akacheka sana...
Point hapa ni kwamba kuna wakati Wake zetu
ndio wanatupeleka kwenye Ndoto zetu kwa upesi
hasa kama haujafanya makosa. Mke anaweza
kumtoa mtu kutoka kuwa SIO KITU hadi KUWA
KITU...
Fanya tu maamuzi ya busara friend unaweza
change historia ya maisha yako just kwa kupata
the right wife...
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment