RIFARO AFRICA
kampuni mpya hapa Tanzania yenye lengo la kumsaidia mmiliki wa simu ya mkononi kuweza kunufaika na muda wa hewani anaoutumia kupiga simu kwa kumuingizia KIPATO endelevu.
-kampuni ilipata wazo hili toka mwaka 2011, lakini rasmi ilianza kulifanyia kazi mwaka 2014 mwezi wa 12 baada ya kufuata taratibu zote za sheria ya jamhuri ya muungano wa tanzania na taasisi zote muhimu kuipitia na kujiridhisha na mfumo huo,utakao msaidia mtumiaji wa simu ya mkononi!.
NI KAMPUNI IPI YA SIM UNAPASWA KUJIUNGA NA MFUMO HUU
Wakati inaanzishwa hii kampuni ,kampuni ilikuwa inalazimisha watu wajiunge kwa kutumia namba ya zantel tu, kwa sasa wameboresha huduma maana ilikuwa ni ngumu sana kumkonvince au kumshawishi mtu kumbadilishia namba anayotumia hivyo basi huduma hii ikaboreshwa na sio tena zantel tu unaweza ukajiunga kwa kutumia laini yako ya sim unayoitumia kila siku kama AIRTEL,VODA,TIGO nk
BIDHAA!
-kampuni imetuletea bidhaa makini sana, muda wa hewani "AIRTIME ", bidhaa hii imekuwa na watumiaji wengi kwa ktk ulimwengu wa sasa, iwe ni mchana au usiku, wakati wa shida ama wakati wa raha bado tunaitumia sana! KUMBUKA SI MAANISHI KUWA UNAKUWA MUUZA VOCHA, BALI KWA MATUMIZI YAKO BINAFSI UNALIPWA.
MFUMO!
- Rifaro Africa inaendesha biashara katika mfumo wa mtandao "Network marketing "
Biashara ya karne ya 21, biashara ambayo inakufanya uachane na kutumia nguvu nyingi, biashara ambayo itakupatia kipato ambacho hakina kikomo, kipato endelevu chenye urithi.
- Rifaro wameuweka mfumo huu katika vizazi 15. Utalipwa kuanzia kizazi cha 1 hadi cha 15, kwa uwiano tofauti kulingana na kizazi kwa kizazi!.
AINA ZA VIPATO.
Kuna vipato aina mbili kwenye kampuni hii.
1. Kipato cha wiki
-hiki ni kipato kinachotokana na kazi uliyoifanya wewe kwa kushirikiana na washirika wako katika biashara kuanzia kizazi cha1 hadi cha 15.
Utalipwa kulingana na idadi ya washiriki wapya waliojiunga ktk hiyo week husika.
Week ya Rifaro inaanza j3 saa 6:01 usiku na kufungwa j2 6:00 usiku.
- malipo haya hulipwa siku ya j5 kwenye ATM Card yako (visa) .
KIPATO KIKO VIPI?
Kizazi 1: 20,000/= kwa kila atakayeingia kwako moja kwa moja.
Kizazi 2: 8000/=
Kizazi 3: 5000/=
Kizazi 4: 5000/=
Kizazi 5: 5000/=
Kizazi 6: 3000/=
Kizazi 7 hadi kizazi 15: 2000/= kwa kila kizazi
Mfano;-
kwa week ukaingiza watu.
K1 5 × 20,000=100,000
K2 25 x 8000= 200,000
K3 125x5000= 625,000
K4 625x5000=3125000
K5 3125x5000=15ml 🙆
KIPATO CHA MWEZI
-hiki ni kipato kinacho tokana na matumizi ya muda wa hewani "airtime " uliyotumia wewe binafsi na washirika wako katika biashara kizazi cha 1 hadi cha 15.
-kampuni inatulipa 6.5% ya muda wa hewani tuliotumia mwezi mzima, na hizi 6.5% zinagawanywa kwenye timu yako k1- K15.
Wewe : 1% ya matumizi yako.
Kizazi 1- kizazi 5 : 0.5% kwa kila kizazi, ( jumla 2.5% ya vizazi hivyo vitano).
Kizazi 6- kizazi 15: 0.25%, ( jumla ya 2.5% ya vizazi hivyo).
(1% + 2.5% + 2.5%= 6%)
Inabaki 0.5% kwa ajili ya ZAWADI kampuni, itakazokukabidhi kulingana na idadi ya washiriki kuanzia kizazi cha K1- K15.
0.5% ya ZAWADI
Timu yako ikiwa na idadi ya wanachama kuanzia K1- K15 jumla
👇
-15,000 watu : Kiwanja
-25,000 watu: safari ya macca /Israel kujitakasa.
-40,000 : gari 1(15ml kwa thamani ya sasa hivi).
-70,000 : gari 2 (150 ml kwa thamani iliyowekwa sasa hivi na kampuni).
- 120,000 : POSH VILLA (jumba la kifahari), 400-500 milion kwa thamani iliyowekwa sasa hivi.
JINSI YA KUJIUNGA
👇🏾
Kama zilivyo biashara zingine za mtandao , ili uweze kuwa memba Wa kampuni fulani na upate fursa ya kuwa distributor Wa bidhaa ya kampuni , kutumia bidhaa , kuuza au kuwaalika wengine kwenye kampuni husika ni lazima ujiunge.
Yapo makampuni mengi yanayotumia mfumo huu Wa kisasa Wa Biashara (Biashara ya mtandao) kama Nepstar, gnld,tiansh, forever living,organogold , oriflame,aim alliance global,edmark,trevo nk, kampuni zote izo nilizotaja zinatumia mfumo huu wa kisasa wa biashara ili bidhaa imfikie mlengwa, hivyo basi ni lazima ujiunge kwa kulipia kiasi fulani ili uwe mwanachama kamili, ada au fedha ya kujiunga inategemea na kampuni na inatofautiana kampuni moja na nyingine, lakini pia kuna makampuni ambayo hayatozi kabisa kiingilio.
Hivyo basi hata kwenye kampuni hii itakupa ulipie sh.128,000 ili uweze kuwa mwanachama kamili na upate haki zote za uanachama wako.
Branch zipo sehemu mbalimbali mikoa tofauti kwa hapa Tanzania, ukitaka Kujiunga itategemea upo mkoa gani au upo Jirani na mkoa gani ambao una branch za ofisi za Rifaro mfano tuna branch dar es salaam , Morogoro, Mbeya,Moshi, Arusha,kahama, Tanga,Unguja,Mwanza,Dodoma, Iringa nk.ni zaidi ya mikoa kumi na tano Rifaro Africa wana ofisi
Na huwezi kuungwa hadi uwe na namba ya usajiri ya MTU ambaye amekupa taarifa hii au ujumbe huu au fursa hii ya Biashara ya karne ya 21 au ya mtandao au multilevel marketing au mlm au Biashara ya kileo, ili wakati unafanyiwa usajiri wako wataitumia namba iyo kukusajiri wewe na wewe utapewa namba yako nyingine ya usajiri kama mwanachama Mpya.
Baada ya usajiri
- utapatiwa kifurushi chenye
1. DVD
2. ATM card(2000/= salio ndani yake)
3.kitabu cha biashara
4. A/C namba ya kukuwezesha kuingia kwenye ofisi yako (tovuti) kuona biashara yako yote.
5. 5000/= salio vocha
6. No ya mwanachama
Hapo utakuwa mwanachama tayari, na utakuwa na haki zote za kiuanachama, za kusajiri watu wengine ili ulipwe, ukitumia airtime vocha pia utalipwa pamoja na zawadi zingine nilizozitaja hapo awali.
Sasa jitengenezee kipato cha kudumu na endelevu kwa maisha yako ya sasa na baadae, muunge Mwingine pia ulipwe, naye amuunge Mwingine ulipwe pia , naye amuunge Mwingine ulipwe tena, utalipwa hadi kizazi cha 15.Bado utapewa Nyumba, kiwanja , gari nk.
HIVYO basi kwanini utumie vocha bila kulipwa pia,anza kusave money kwa kujifaidisha mwenyewe, tumia vocha yako papo hapo ulipwe na kampuni, kwa watu makini hii si ya kukosa , tumia vocha ulipwe , muunge na Mwingine pia ulipwe.
Changamkia fursa okoa mapene ,timiza ndoto zako, pata kipato endelevu na cha kudumu, raha sana kulipwa kwa kutumia nguvu za wengine, yaani hata kama hujafanya we we Biashara ,wamefanya wengine bado utalipwa tu, yaani HUFIRISIKI wala hakuna KUIBIWA HAKUNA STRESS kwny biashara hii,HATA USIPIFANYA we we wengine watafanya bado utajipatia KIPATO.
*********Ukitaka Kujiunga tumia no.Yangu ya usajiri ifuatayo ili nawe upatiwe ya kwako Mpya: My Registration No.(Namba Yangu ya usajiri ) ni R954818
Jiunge kupitia namba Yangu iyo ya usajili ili niwe mkufunzi wako daima nikuonyeshe njia za kupita ili ufanikiwe .
Its not over until you win, your dream is possible take a step now.
Karibuni.
Kwa Maelezo zaidi wasiliana nasi
Call/text 0712163738
Wasp. 0782163738
0 comments :
Post a Comment