-->

TRA KUWENI WABUNIFU KATIKA UTENDAJI WENU

TRA kuweni wabunifu sio kusubiri kila jambo agundue Magufuli.
Kwamfano wafanyabiashara wengi pamoja na kuwa mmetoa tamko kuwa EFD zigawiwe bure bado wafanyabiashara wanapata kigugumizi kuzitumia.
Wanaogopa kodi ya 18% .kuwa asilimia 18 itakata kwenye mauzo ya jumla bila kujali kama umepata faida au la.
Hii sio kweli na niupotoshwaji ambao ulipaswa kusahihishwa na TRA.
Haiwezekani kila ukifungua TV na Radio unakuta Tangazo la Tigo,Voda na Airtel.
Kila ukifungua TV na Radio unakuta tangazo la Dume au Salama kondom
Kila ukifungua TV ua Radio unakuta tangazo la Fiesta.
Kila ukifungua tv au radio unakuta tangazo la ICE CREAM AU Maji.
Kwanini TRA mmelala kwenye utoaji elimu juu ya kodi?
Inamaana mnapata pesa za semina ma kuiba tu lkn za kutangaza kuhamasisha ulipaji kodi pamoja na kutoa elimu ili kuondoa misconception hamna?
Tuamini kuwa Watu wa tigo,voda,kondom,fiest na maji wana fedha nyingi kuliko TRA?
Kitengo cha mawasiliano kwa umma wameshindwa kazi nao wanapaswa kutumbuliwa.
Naomba ujumbe huu umfikie Rais wetu ndugu JP Magufuli.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment