BAADA YA DROO YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE HII NDIO RATIBA
Chelsea watakutana na Paris Saint Germain kwa msimu wa tatu mfululizo wa Klabu Bingwa Ulaya, huku Manchester City wakipambana na Dynamo Kiev. Arsenal watacheza na Barcelona. Mechi za mwazo zitachezwa Februari 16-17 na 23-24. Mechi za marudiano ni Machi 8-9 na 15-16. Ratiba kamili ni kama ifuatavyo: Gent v Wolfsburg Roma v Real Madrid Paris St-Germain v Chelsea Arsenal v Barcelona Juventus v Bayern Munich PSV Eindhoven v Atletico Madrid Benfica v Zenit St Petersburg Dynamo Kiev v Manchester City
0 comments :
Post a Comment