-->

NAMNA YA KUTUMIA WHATSAPP MBILI KWENYE SIMU MOJA


habari wana group, nimeona post nying hapa za jinsia ya kutumia whasap mbili kwenye simu moja,
INAWEZEKANA, fuata maelezo
ingia play store, then search disa kisha install
Ikimaliza fungua disa then agree the terms of service and privacy
itakuletea setting kwachini kidogo bonyeza add service, kuna text, facebook na whatsap, bonyeza whatsap, itaanza kudownload plugins, ikimaliza bonyeza restart.
kisha kwa juu bonyeza whtasap setting needed, ikikwambia uninstall the official whatsap...... bonyeza skip,
hapa ingiza jina na namba ya simu(usijaribu kuingiza namba ambayo inatumika kwenye ile whatsap ya kawaida itakusumbua), baada ya hapo itakuletea verification bonyeza via sms, kuna sms itakuja kwenye hii namba uliyoingiza copy hiyo whatsap code iliyokuja paste pale kwenye disa kisha submit

HAPO TAYARI UNA WHATSAP MBILI
Kuchat unabonyeza kwenye hiyo alama ya +
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment