KARIBU KATIKA DARASA HURU na ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU.
leo nitatoa somo dogo la jinsi ya kudownload video za facebook bila kutumia software yoyote ile. unaweza ukaona haiwezekani ila ni ukweli usiopingika kwamba inawezekana. twende sote
STEPS

1. Kama ni mtu ameshare kutokea kwenye page nyingne basi Nenda kwenye
profile ya mtu alieweka vdeo, kama hapo ilipo ndio original page basi
fata step ya pili.
2. Iclick hyo video na ikianza kuplay basi nenda kweny URL
na ureplace www na m.
Mfano. Http//www.facebok.com.
Isomeke http//m.facebook.com
Then ENTER.
3.itafunguka page nyingne, katika hiyo page fanya kuiplay tena then ikianza kuplay right click.
Nenda kwenye option ya SAVE VIDEO AS.
then save kama MP4.
4. Fata steps vizuri utafanikiwa.

NOTE
kama unatumia simu na unatumia google chrome kama browser inakuwa rahisi zaidi kwasababu yenyewe inakuwa tayari wamereplace www na m.
So unachofanya ni kuplay then wakati inaplay fanya kuhold hiyo video kwa muda kama vile unataka kucopy, itakuja option ya kusave utasave.
Kwa browser nyingne angalia URL kama ina m au www.
Kama haina m basi fata step zote za juu.
Kama ina m basi fanya kama nilivyosema.

0 comments :
Post a Comment