VIONGOZI WA KUNDI LA PANYA ROADI BAADA YA KUKAMATWA NA JESHI LA POLISI HUKO TANDALE, WATU HAWA NDIO VINARA WALIOSABABISHA JIJI KUTOKALIKA KWA MASAA KADHAA |
NA KAROLI VINSENT
TAARIFA ambazo zimetufikia mda huu zinasema Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam limewakamata jumla ya mbwa mwitu 510 ikiwa ni harakati za kufichua kundi hio kubwa na Panya road waliotikisa jiji La Dareslaam mapema hivi karibuni
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake, kamanda wa polisi kanda maalum ya Dareslaam amesema tayari jeshi hilo pia limefanikiwa kuwakamata viongozi muhimu wa kundi hilo ambao mara kibao wameonekana kusadia kufanyika kwa vurugu hizo,
Habari kamili itakujia hivi punde endelea kufuatilia mtandao huu
0 comments :
Post a Comment