Matokeo Capital One Cup | Liverpool 1-1 Chelsea
Eden Hazard aliipa bao la kuongoza Chelsea katika dakika ya 18 kwa penalti baada ya Emre Can kumfanyia faulo winga huyo ndani ya boksi.
Raheem Sterling akasawazisha dakika ya 59 na kufanya mchezo kua mkali
Nahodha wa Liverpool Steven Gerrard aligonga mwamba kabla ya kutolewa na nafasi yake kuchukuliwa Adam Lallana.
Mchezo huu utakua na marudio kumpata atakayesonga mbele.
Comment comment comment shea like

0 comments :
Post a Comment