-->

MANCHESTER UNITED YABADILISHA MFUMO KUTOKA 3-3-2-2 KWENDA 4-4-2

Kocha wa Manchester United abadili mfumo toka 3-3-2-2 kwenda 4-4-2 baada ya kelele za mashabiki wa Manchester United walio kuwepo uwanjani wakiimba "Attack Attack" wakiwana na maana ya kuwa timu ishambulie na pia walikua wakiimba 4-4-2 4-4-2 wakiwa namana timu icheze mfumo wa 4-4-2..baada ya mechi Vana Gaal alikuwa na haya ya kusema
"natambua kwamba tukicheza kwa kutumia viungo wa 4 katika mfumo wa almaasi(Diamond Formation) tunatengeneza nafasi nyingi sana lakini mlingano wa timu ni dhaifu sana(Balance of the team is weak) na mmejionea hilo kwani tulitengeneza nafasi lakini pia QPR nao walipata upenyo wakutengeneza nafasi"
"tunatakiwa tuchague jinsi gani tunataka kucheza kila wiki,na hilo ni swali"
"lakini na ule mfumo mwingine tulicheza na Totenham hotspurs labda kama unakumbuka tulitengeneza nafasi 6 katika kipindi cha kwanza nafasi nyingi zaidi ya leo lakini hatukufunga ,kwa iyo huwa ni swali je tupo makini vya kutosha?

"dhidi ya Southampton ugenini tulifunga magoli ma wili(02) katika nafasi 3 natuka shinda mechi,lakini sio kwamba tuikuwa timu bora wiki iliyo pita tulikuwa timu bora,lakini katika mpira wa miguu siyo siku zote timu bora inayo shinda"
"kipindi cha kwanza tulicheza kama QPR walivyo taka,tulifanya vitu sawa kama QPR kucheza mipira ya juu,mipira mirefu na QPR walikua timu bora lakini kipindi cha pili tulibadilisha mfumo na ikasaidi"
-yapi maoni yako juu ya mfumo gani au mbinu zitumike kuhakikisha timu yetu inacheza vizuri na kushinda kwa ushindi mnono?
‪#‎VanG‬
SOURCE:MANCHESTER UNITED SWAHILI NEWS
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment