Matokeo Copa del Rey: Elche 0-4 Barcelona (jumla 0-9):
Wakianza mchezo wakiwa mbele kwa bao 5-0 kutoka guu la kwanza, wachezaji wa kikosi cha pili cha Barca Jeremy Mathieu, Sergi Roberto, Pedro na Adriano kwa urahisi wamemalizia kazi kwenye guu la pili la Copa del Rey na kutinga robo fainali ya kombe hilo ambapo watakutana na Atletico Madrid
Bao: Mathieu 21, Sergi Roberto 41, Pedro 43, Adriano 90.

Shea hii na toa maoni yako
SOURCE:FULLSOKA
SOURCE:FULLSOKA
0 comments :
Post a Comment