SAKATA LA UMRI HALISI WA MWIGULU NCHEMBA LAPAMBA MOTO KATIKA MITANDAO YA KIJAMII
Hivi ni vielelezo mbali mbali vilivyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu umri wa Mh Mwigulu Nchemba ambavyo vimibuka baada ya kuwepo kwa habari kwamba Mh ni miongoni mwa wagombea wa uraisi
0 comments :
Post a Comment