-->

HIVI NDIVYO,KOCHA NA KAPTENI WA TAIFA STAZ WALIVYOPIGA KURA KWENYE TUZO ZA BALLON D'OR

How East Africa voted for the 2014 Ballon D'orMwakilishi wa vyombo vya habari Boniface  Wambura alimpigia
1.Ronaldo
2.Messi
3.Mueller
Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Nooij Mart
1.Robben
2.Messi
3.Ronaldo
Kapteni wa timu ya taifa ya Tanzania  Haroub Nadir
1.Messi
2.Ronaldo
3.Mueller
Kwa upande mwingine wa nchi jirani kama Rwanda kapteni wao Haruna Niyonzima alimpigia
1.Ronaldo
2.Toure
3.Messi
huku kocha wake Stephen Constatine
1.Ronaldo
2.Messi
3.James Rodriguez.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment