-->

MADRID YANG'OKA KOMBE LA COPA DEL REY,TORRES AONYESHA MAKUCHA YAKE

MABAO 2 YA TORRES YATOSHA KUITOA REAL MADRID MICHUANO YA COPA DEL REY.
Mchezaji wa Atletico Madrid Fernando Toress usiku wa jana Alhamisi alidhihirisha dunia kama bado mkali wa ufungaji magoli baada ya kufunga magoli 2 ambayo yameitoa timu ya mchezaji bora duniani Christiano Ronaldo ya Real Madrid katika dimba la Santiago Bernabeu hapo jana usiku.
Toress alifunga goli lake la kwanza dk1 na kurudia tena dk 46 ya kipindi cha pili,huku mabao ya Real Madrid yaliwekwa kimiani na Ramos dk 20 na la pili likiwekwa na mshindi wa tuzo ya mchezaji bora duniani Christiano Ronaldo dk ya 54
Matokeo ya jumla ni Atletico Madrid magoli 4-2 ya Real Madrid
SOURCE:FULLSOKA
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment