Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi Mwigulu Nchemba ametangaza
kuwasimamisha kazi watumishi Saba wa wizara hiyo kupisha uchunguzi wa
kashfa ya fedha za Akaunti ya Tegeta ESCROW,asema fedha za Escrow
zilizotumika kiubadhilifu zingeweza kuokoa maisha ya wagonjwa wengi,
0 comments :
Post a Comment