-->

MWENYEKITI WA THE ISLAMIC FOUNDATION APOKEA TUZO YA UTENDAJI BORA


(Pichani,kutoka kushoto ni Aref Nahdi,Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Ally hassan Mwinyi,Balozi wa Saudi Arabia nchini Tanzania)

Mwenyekiti wa The Islamic Foundation Ndugu Aref Nahdi akiwa na Balozi wa Saudi Arabia nchini Tanzania Ndugu Haani Abdallah Almu-umin akikabidhiwa cheti na ngao ya utendaji bora wa kazi za daawa ktk hafla ya kufunga semina ya mafunzo ya maimamu na maduati (Walinganiaji) iliyo andaliwa na ubalozi Saudi Arabia jijini Daresalam.

Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment