Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Tanzania, Samson Mwigamba (katikati),
akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam hivi
karibuni
CHAMA cha ACT- Tanzania kilichoanzishwa kwa mbwembwe na
matumaini ya kubebwa na Zitto Kabwe, mbunge wa Kigoma Kaskazini,
kinaweza kufutwa au kujifia chenyewe.
Tayari chama hicho kina katiba mbili zinazotumika, nembo
mbili, kadi mbili na kambi mbili za uongozi – moja ya wajumbe
wanaokubaliana na ujio wa Zitto kuwa mwenyekiti; na nyingine inayotaka
Zitto aje akiwa mwanachama wa kawaida. Anaandika Saed Kubenea.
SOURCE:MWANAHALISIONLINE
0 comments :
Post a Comment